Kwa siku ya tatu mfululizo, kambi ya Wapalestina ya Aïn el-Héloué, iliyoko kilomita 40 kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, ilikumbwa na makabiliano makali siku ya Jumatatu kati ya chama cha Fatah la ...